Idadi ya watahiniwa wa vyuo vya masomo ya ufundi yapungua

  • | Citizen TV
    114 views

    Kati ya Wanafunzi 25,012 kutoka kaunti 46 nchini watakaofanya mtihani wao wa masomo ya ufundi ni wanafunzi 212 pekee kutoka kaunti ya TaitaTaveta wamesajiliwa kufanya mtihani huo. Keith Simiyu anaarifu zaidi kuhusu kinachochochea idadi ndogo ya usajili wa wanafunzi kwenye vyuo hivyo taita taveta