Wanafunzi watatizika kupata fedha kugharamia elimu ya vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    310 views

    Huku wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu wakitarajiwa kuanza kuripoti vyuoni wiki hii, baadhi ya wanafunzi wamesalia njiapanda baada ya mfumo mpya wa ufadhili kuwalazimu kulipa karo zaidi. Josiah Ongachi kutoka kaunti ya Kisii ni mmoja kati ya maelfu ya wanafunzi waliosalia bila namna baada ya familia kushindwa kupata fedha zinazohitajika