Serikali kugharamia kampeni ya Raila kuwa mwenyekiti wa muungano wa AU

  • | KBC Video
    24 views

    Serikali imeimarisha juhudi za mikakati ya kampeni za mwakilishi wa Kenya kwa wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya umoja wa bara Afrika Raila Odinga. Kundi la kampeni na mikakati mipana itazinduliwa wiki ijayo mnamo Jumanne, wakati rais William Ruto atakapozindua rasmi uwaniaji wa Raila.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive