Mwanasheria mkuu mpya Dorcas Oduor aanza majukumu

  • | KBC Video
    12 views

    Mandhari ya kisheria ya taifa hili yameshuhudia mabadiliko ya kihistoria kufuatia kusimikwa kwa Dorcas Oduor kama mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa wa mwanasheria mkuu. Akitoa hotuba yake ya uzinduzi, Mwanasheria mkuu Dorcas Oduor alitangaza mikakati ya mageuzi ikiwa ni pamoja na uhifadhi wa rekodi kidijitali katika idara ya udhibitishaji na usimamizi pamoja na mipango na uhifadhi wa rekodi za ndoa kidijitali. Oduor alisisitiza kujitolea kwake kuboresha utoaji huduma kwa umma kupitia siku maalum za kutoa huduma za kisheria bila malipo ili kuanza sura mpya katika mageuzi ya kisheria nchini na uhusishaji wa jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive