Viongozi wa Mlima Kenya wataka gachagua awe msemaji wao

  • | KBC Video
    261 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa changamoto kwa viongozi katika muungano tawala, kusitisha siasa na badala yake kuangazia utekelezaji wa ahadi za serikali. Gachagua aliyekuwa akihudhuria hafla ya mazishi katika kaunti ya Kiambu, aliwaambia viongozi kaunti hiyo wanaolenga kuwania wadhifa wa urais mwaka wa 2027 na 2032, kupunguza kasi kuhusu siasa za urithi. Haya yanajiri huku baadhi ya viongozi kutoka eneo hilo wakimuunga mkono Gachagua kama kiongozi wa eneo la Mlima Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive