Viongozi wataka maafisa wa Makindu kuondolewa kufuatia kuongezeka kwa mauaji ya wanabodaboda

  • | NTV Video
    70 views

    Kaimu inspekta mkuu wa polisi humu nchini Gilbert Masengeli amepewa muda wa siku saba kuondoa maafisa wote wa polisi pamoja na OCS wa kituo cha polisi cha makindu kaunti ya Makueni kufuatia ongezeko la mauaji ya waendeshaji bodaboda. Ni matamshi ya viongozi wa eneo hilo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya