Inspekta Jenerali wa polisi ahukumiwa kifungo gerezani

  • | KBC Video
    55 views

    Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli amehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani, kwa kuibeza mahakama. Mahakama ilimpata Masengeli na hatia hapo jana kwa kukosa kutii maagizo kadhaa ya mahakama ambapo alitakiwa kufika kortini kuelezea kuhusu kutoweka kwa mwanaharakati Bob Njagi na ndugu wawili wanaodaiwa kutekwa nyara mnamo Agosti 19 wakati wa maandamano dhidi ya serikali mjini Kitengela.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive