- 1,743 views
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC, imetoa majina ya baadhi watu wanaotajwa kunyakua mali ya umm yenye gharama ya zaidi ya shilingi bilioni tano kwa jumla. Baadhi yao ni aliyekiwa seneta wa Baringo Gedion Moi na aliyekuwa waziri eni za Moi Nicholas Biwott ambao walinyakua ardhi ya shilingi bilioni moja nukta mbili huko Eldoret. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Kevin Mutai EACC inasema itatia makali zaidi kuwaandama wote walionyakua mali ya umma.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
EACC yatoa majina ya watu walionyakua mali ya umma ya gharama ya shilingi bilioni tano
- - Duniani Leo ››
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - The staunch critic of Gachagua did not take kindly to the violence that took place in his backyard.
- 30 Nov 2024 - This is not the first time the former CS is landing a state job since he was fired by former President Uhuru Kenyatta.
- 30 Nov 2024 - Kenya Cup: Menengai Oilers eye consistency ahead of Strathmore Leos test
- 30 Nov 2024 - The government has continued to defend the rollout of SHA, with more money being spent on a nationwide campaign.
- 30 Nov 2024 - The president has been making a series of appointments in government bodies.
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe
- 30 Nov 2024 - Builders, construction firms protest planned 35pc duty on tiles