Maoni mseto kuhusu utendakazi wa serikali yatolewa

  • | KBC Video
    8 views

    Hisia mseto zinaendelea kutolewa kuhusu utendakazi wa serikali, miaka miwili tangu kuchukua hatamu za uongozi, huku wananchi wakitoa maoni tofauti kuhusu nyanja wanazohisi serikali ilifanya vyema au vibaya katika utekelezaji wa ajenda yake ya maendeleo. Haya hapa matokeo ya utathmini wa utendakazi wa serikali kama yalivyotolewa na wananchi kutoka kaunti mbalimbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive