Wakulima wapewa mafunzo kuhusu mbinu za kisasa za ufagaji wa kuku

  • | Citizen TV
    659 views

    Wafugaji wa kuku katika kaunti ya Busia wamepata hamasisho kuhusu ufugaji kuku wa kisasa almaarufu improved kienyeji ambao wanakomaa haraka na kuwapa mapato kwa wakati mzuri. Wajane na vijana wamefaidika zaidi na mpango huo, huku zaidi ya makundi 31 ya wakazi katika kaunti ya Busia yakinufaika na mradi huo