Maandamano ya wanafunzi wa Multimedia

  • | K24 Video
    81 views

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha multimedia wakiongozwa na viongozi wao wametoa ilani ya saa 48 kwa idara ya polisi kuchukulia hatua kali maafisa wa polisi walionaswa kwa video wakimhangaisha mmoja wao hapo jana. Aidha wametaka haki itendeke kwani trevor mathenge ameumizwa vibaya na maafisa wa polisi na sasa anapokea matibabu katika hospitali ilioko rongai. na kama anavyoarifu Antohny Kwemoi tukio hilo la kutamausha lilitokea wakati wanafunzi wa chuo kikuu cha multimedia wakiandamana wakitaka maslahi yao yaboreshwe.