Chama cha UDA kimekanusha kuwepo kwa uhasama wowote kati ya Rais na naibu wake Gachagua

  • | K24 Video
    253 views

    Chama cha UDA kimekanusha kuwepo kwa uhasama wowote kati ya raisi William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua licha ya kuwepo kwa madai ya njama ya kutaka kumbadua kama naibu raisi, na baadhi ya wabunge kukosa kumtambua kama msemaji wa viongozi kutoka mlima kenya, huku wakimuidhinisha waziri wa usalama wa ndani profesa Kithure Kindiki kuwa msemaji wa jamii kutoka mlima kenya.