Utekelezaji wa NG-CDF kusitishwa mwaka 2026

  • | KBC Video
    32 views

    Mahakama kuu humu nchini imetangaza kwamba hazina ya serikali ya kitaifa ya ustawi wa maeneo bunge, (NGCDF) kuwa kinyume cha katiba na itasita kutekelezwa tarehe 30 mwezi Juni mwaka 2026.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive