Kenya yajiunga na ulimwengu kuadhimisha saratani ya damu ya CML

  • | TV 47
    31 views

    Ikiwa imesali saa chache tu kabla ya taifa la kenya kujiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya aina sugu ya saratani kwa kimombo chronic myeloid leukemia, lengo kuu mwaka huu ni kuhakikisha hakuna mgonjwa yeyote anasumbuka kuhusiana na safari ya matibabu. wito umetolewa kwa serikali kuangazia pakubwa gharama ya matibabu ya saratani katika mpango mpya wa bima ya afya ya jamii. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __