Wachambuzi watoa suluhisho kuhusu visa vya uchomaji mabweni shuleni

  • | K24 Video
    4 views

    Kama njia moja wapo ya kushughulikia visa vya uchomaji mabweni shuleni na kupunguza vifo na uharibifu wa mali, wanasaikolojia na wachambuzi wa masuala ya elimu wanapendekeza kushirikishwa kwa wanafunzi na jamii katika maamuzi ya masuala mbali mbali shuleni. Walimu nao wametakiwa wapewe nasaha kuhusu jinsi ya kuwashughulikia wanafunzi kisaikolojia.