Politrack:Magavana wa muhula wa kwanza wasemekana kuboresha utendakazi

  • | TV 47
    11 views

    Iwapo uchaguzi wa magavana ungefanywa hii leo basi gavana wa kaunti ya narok Patrick Ole Ntutu angeibuka bora katika kaunti hiyo. Kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la politrack, Ole Ntutu ametajwa kuwa gavana bora zaidi miongoni mwa jumla ya magavana 28 wanaohudumu muhula wa kwanza baada ya kujizolea asilimia 78.6, kulingana na utafiti mpya uliofanywa na shirika la politrack. Utafiti wa politrack unatoa mwanga kuhusu mitazamo tofauti ya umma kuhusu uongozi wa kaunti, huku uwazi, ukusanyaji wa mapato, na uzingatiaji wa mipango ukiibuka kama vigezo muhimu vya mafanikio hayo. Utafiti huo, ambao ulitathmini ukadiriaji wa uidhinishaji katika kaunti 28 zilizo na magavana wa muhula wa kwanza, uliorodhesha magavana hao kulingana na mambo muhimu yakiwemo utawala bora na uwiano wa mapato ya kaunti. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __