Siku ya kimataifa ya amani yaadhimishwa nchini

  • | KBC Video
    49 views

    Vijana wametakiwa kueneza amani huku taifa hili likijiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya amani mwaka huu. Huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa 'ukuzaji tamaduni ya amani', viongozi kutoka kaunti ya Mandera wakiongozwa na naibu kamishna wa kaunti Patrick Messo, walihudhiria maadhimisho ya kaunti hiyo na kutoa wito kwa vijana kuhusika katika shughuli zenye manufaa za kuleta amani katika jamii zao na eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive