Mbio za chepsaita zazinduliwa ,hii ni awamu ya pili ya mbio hizi

  • | TV 47
    18 views

    Mbio za nyika ya chepsaita zimezinduliwa rasmi hii leo katika kaunti ya Uasin Gishu. Hii leo ilikuwa ni siku ya wanariadha kujisaliji kushiriki kwa mbio hizi ambazo zitafanyika tarehe saba desemba mwaka huu. Mbio za Chepsaita huwa na vitengo tofauti tofauti kama vile mbio za nyika za wanaume na wanawake.halfa hii ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali kama vile Farouk Kibet, gavana wa Uasin Gishu Jonathan Bii na mwanariadha Eliud Kipchoge. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __