Kampuni ya BATA yafungua duka jipya katika Likoni Mall

  • | TV 47
    25 views

    Wakati Serikali Inaendelea Kuwawezesha Wazalishaji Wa Ndani, Wakenya Wanashauriwa Kutumia Bidhaa Zinazozalishwa Ndani Ya Nchi Ili Kusaidia Na Kutunza Sekta Ya Uzalishaji. Haya Yanakuja Wakati Ambapo Watu Wengi Wa Kizazi Cha Milenia Kenya Wanahusisha Uzoefu Wao Na Viatu Vya Shule Vya Bata Vinavyojulikana Sana Kama "Toughies." Akizungumza Wakati Wa Uzinduzi Wa Duka Jipya La Bata Katika Likoni Mall, Kaunti Ya Mombasa, Mwandishi Wa Habari Wa Tv47 Betty Kyalo Na Mkurugenzi Mkuu Wa Bata Kenya Benson Okumu Wamehamasisha Wananchi Wa Kawaida Kukumbatia Bidhaa Za Bata Kwani Zinapatikana Kwa Aina Mbalimbali Zinazozingatia Mahitaji Ya Wananchi Wa Kawaida. Hata Hivyo, Hawajasahulu Kuhusu Wateja Wao Wa Zamani Wa "Patapata" Wanapozalisha Bidhaa Za Kisasa Zenye Raha Kwa Kizazi Cha Sasa. Aidha, Wakazi Wa Mombasa Watafurahia Punguzo La 10% Kwa Bidhaa Zote Mwezi Huu. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __