Waziri Wandayi: Maeneo yote yatawekwa umeme

  • | KBC Video
    60 views

    Waziri wa kawi, Opiyo Wandayi, ameahidi kuhakikisha mpango wa uwekaji umeme kote humu nchini, umeafikiwa. Wandayi alisisitiza kuwa hatua hiyo itatekelezwa kwa ushirikiano na kampuni ya Kenya Power na shirika la umeme mashinani na nishati mbadala ‘REREC’.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive