Familia yalilia haki baada ya kijana kuuawa Mogogosiek

  • | Citizen TV
    343 views

    Familia ya kijana aliyepigwa risasi wakati wa maandamano ya wakulima wa chai katika eneo la Mogogosiek, kaunti ya Bomet wiki iliyopita sasa inadai haki. Familia ya Robert Chepkwony sasa ikisema jamaa yao hakuwa kwenye maandamano na alikuwa njiani akielekea kazini. Maryanne Nyambura anaarifu huku IPOA ikisema inaendelea na uchunguzi