Naibu Rais Gachagua amuonya rais dhidi ya usaliti

  • | Citizen TV
    13,828 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ameendeleza makali yake dhidi ya Rais William Ruto, sasa akimtaka kukomesha kile anasema ni siasa za usaliti. Gachagua akimuonya rais ruto kuwa endapo atachukua mkondo huo, basi eneo la mlima Kenya halitamsamehe kamwe. Gachagua ambaye alihudhuria ibada mjini thika amesema njama ya kumng'atua mamalakani itaibua machungu ya kisiasa.