Washukiwa wakamatwa kwa kukiuka sheria za kelele KAwangware na Kilimani

  • | Citizen TV
    541 views

    Maafisa wa halmashauri ya NEMA na wenzao wa kaunti ya Nairobi wameendeleza msako dhidi ya vilabu na maeneo ya ibada, kufuatia ripoti za kelele kupita viwango haswa nyakati za usiku katika baadhi ya maeneo. Msako huu katika maeneo la Kawangware na Kilimani, ukilenga kanisa maarufu kwa ibada zake za 'Kesha' ndani ya maeneo ya makazi.