Rais Ruto azuru Haiti

  • | Citizen TV
    1,734 views

    Maafisa 600 zaidi wa usalama wanatarajiwa kuelekea nchini Haiti kujiunga na wenzao waliotangulia kwa juhudi za kurejesha usalama nchini humo. Rais William Ruto ambaye alifanya ziara ya dharura nchini humo, alihimiza Umoja wa Mataifa kuendeleza usaidizi wa kifedha kwa vikosi vya usalama vilivyo Haiti kwa juhudi za kurejesha amani.