Viongozi wa makanisa Kisii wapinga mapendekezo ya Mswada uliowasilishwa katika Bunge la Seneti

  • | Citizen TV
    367 views

    Viongozi wa makanisa mbalimbali kaunti ya Kisii ni wa hivi punde kabisa kupinga mapendekezo ya Mswada uliowasilishwa katika Bunge la Seneti kudhibiti makanisa yote nchini. Viongozi hao wanasema hatua hiyo ni moja ya mikakati ya kukandamiza makanisa humu nchini