Wakaazi wasema kuondolewa kwa CDF kutaongeza umaskini

  • | Citizen TV
    299 views

    Siku chache tu baada ya Mahakama kuu kutaja Hazina ya Ustawishaji Maeneo Bunge NGCDF kuwa inakiuka Katiba, waakazi wa eneo bunge la saboti kaunti ya Trans Nzoia wamejitokeza kuelezea ghadhabu. Wakaazi hao wanasema hazina hiyo imewasaidia kupata basari hasa katika mitaa ya mabanda ambapo wananchi hukabiliwa na umaskini mkubwa.