Polisi Kiambu wachunguza kifo cha daktari mwanafunzi Desree Moraa aliyejitia kitanzi

  • | Citizen TV
    2,969 views

    Maafisa wa polisi kaunti ya Kiambu wanachunguza kisa ambapo daktari mwanafunzi katika hospitali ya rufaa ya Gatundu alijitia kitanzi