Mahakama yasema jumba la KICC halipaswi kuuzwa kwa mmiliki wa kibinafsi

  • | Citizen TV
    1,373 views

    Jumba la KICC halipaswi kuuzwa kwa mmiliki wa kibinafsi na kuuzwa kwake kutakuwa ni kinyume na katiba. Mahakama kuu imeamua kuwa jumba hilo la kihistoria ni turathi ya kitaifa na linapaswa kusalia mikononi mwa umma