Masomo vyuoni yakwama huku mgomo wa wahadhiri ukiingia siku ya saba

  • | Citizen TV
    531 views

    Mgomo wa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma kote nchini umeendelea kwa siku ya saba huku masomo vyuoni yakiendelea kukwama. Wafanyakazi hawa wa vyuo vikuu wakisisitiza kuwa wataendelea kugoma hadi serikali itakapotekeleza matakwa yao ya nyongezo ya mishahara, vyeo na kutekelezwa kwa mkataba wa maelewano.