Kizaazaa chashuhudiwa katika lango la kuingia kwa ofisi za rais Ruto baada ya wanaharakati kuzuiliwa

  • | Citizen TV
    8,989 views

    Kizaazaa Kilishuhudia Mapema Leo Katika Lango La Kuingia Ofisi Za Rais William Ruto Baada Ya Kundi La Maafisa Wa Usalama Kuwavamia Wanaharakati Waliofika Eneo Hilo. Wanaharakati Hawa Wakiandamana Na Waathiriwa Wa Maandamano Walikuwa Wakiwasilisha Majina Ya Waliouawa Na Waliotoweka Wakati Wa Maandamano Dhidi Ya Serikali.