Wakaazi Kathangachini walalamika kuwa huduma haijakamilishwa ipasavyo

  • | Citizen TV
    54 views

    Wakaazi eneo la Kathangachini Kaunti ya Tharaka Nithi wanaeleza kutoridhishwa na mpangilio wa kuwasilisha hatimiliki eneo hili huku leo ikiwa ni siku ya mwisho ya kutoa hatimiliki hizo. Baada ya zoezi hilo kukamilika, wakaazi watalazimika kwenda hadi marimanti kilomita zaidi ya hamsini kusaka hatimiliki hizo.