Mashahidi watatu waelezea mahakama jinsi walilaghaiwa kwenye sakata ya Finland

  • | Citizen TV
    618 views

    Mashahidi Watatu Kwenye Kesi Ya Sakata Ya Elimu Ya Uasin Gishu Wameelezea Mahakama Ya Nakuru Jinsi Walilaghaiwa Mamillioni Ya Pesa Kwa Madai Kuwa Wangepata Ufadhili Wa Masomo Nchini Finland.