Wakazi wa Nzoia wametakiwa kuwa makini kutokana na hatari ya mtaro mkubwa ulioachwa ukiwa na maji

  • | Citizen TV
    56 views

    Wakazi wa eneo la Nzoia wadi ya Sango na wasafiri wanaotumia barabara ya kutoka kogo kuelekea Nzoia eneo bunge la likuyani kaunti ya Kakamega wametakiwa kuwa makini kutokana na hatari ya mtaro mkubwa ulioachwa ukiwa na maji kando ya barabara hiyo