Kituo cha ushirikishi kuzinduliwa nchini

  • | KBC Video
    3 views

    Wizara ya usalama wa taifa imezindua kituo cha ushirikishi wa juhudi za uokoaji katika ziwa Victoria kwa lengo la kukabiliana na magenge ya wahalifu wa kimataifa na kuboresha ushirikishi miongoni mwa maafisa wa serikali kwenye maeneo ya mikapani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive