Wakazi wa Laikipia walalamikia hali duni ya barabara

  • | KBC Video
    26 views

    Waendeshaji magari kwenye barabara kati ya Nanyuki na Rumuruti walitatizika baada ya wakazi kuifunga wakilalamikia hali yake duni ambayo huzorota zaidi wakati wa mvua. Mmoja wa madereva hao, John Methu, alisema huwa wanalazimika kwenda mwendo mrefu wakitumia barabara ya kutoka Naromuru kwenda Nyahururu ambayo ni ya urefu wa kilomita 151 ili kuepuka kukwama au kuharibika kwa magari yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News