Mila Na Utamaduni: Umuhimu wa Imondo katika jamii ya Abasamia

  • | KBC Video
    23 views

    Katika eneo bunge la Khwisero, kaunti ya Kakamega ukoo wa Abasamia wa jamii ya Abaluhya unadumisha desturi ya jadi iliyojikita kwenye heshima, uongozi katika familia na utamaduni. Mila hii inahusu kiungo makhsusi cha mwili wa kuku ambacho ni Firigisi au kwa jina la kijamii, 'imondo', Imondo huwa na maana na umuhimu katika jamii hiyo. Katika taarifa hii iliyoandaliwa na Jackie Wambiru na kuswahilishwa na Sheillah Yogo tunaangazia jinsi jamii ya Abasamia inavyotunza desturi kuhusu imondo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive