Hoja ya kumbandua Naibu Rais Gachagaua yawasilishwa bungeni

  • | Citizen TV
    4,131 views

    Huenda muda wa Naibu Rais Rigathi Gachagua mamlakani unayoyoma baada ya Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse kuwasilisha rasmi bungeni hoja ya kumwondoa ofisini