Mechi za Harambee Stars kuchezwa Oktoba

  • | Citizen TV
    273 views

    Ligi kuu ya kandanda ya FKF-PL itachukua mapumziko ya wiki tatu ili kuiwezesha timu ya taifa ya soka Harambee Stars kushiriki katika mechi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka wa 2025.