Wabunge kadha wajitenga na hoja ya kumbandua Gachagua

  • | KBC Video
    275 views

    Baadhi ya wabunge wa eneo la Mlima Kenya wanaoegemea upande wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepuuzilia mbali hoja ya kurasa 100 ya kutokuwa na imani naye iliyowasilishwa na mbunge wa Kibwezi Mwengi Mutuse. Wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Gatanga Wakili Edward Muriu, wameapa kwamba hawataunga mkono hoja hiyo ya kumwondoa Gachagua Madarakani. Haya yanajiri huku viongozi wa kidini wakitoa wito kwa wabunge 291 waliotia saini hoja hiyo kufikiria upya msimamo wao na kupunguza joto la kisiasa nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive