Hoja ya kutokuwa na imani na Gachagua yawasilishwa bungeni

  • | KBC Video
    447 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua anakabiliwa na shutuma 11 dhidi yake kufuatia hoja ya kumtimua mamlakani iliyowasilishwa leo alasiri katika bunge la kitaifa. Hoja hiyo ya kurasa-100 iliyowasilishwa na mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse inaungwa mkono na wabunge-291 na inamshtumu Gachagua kwa madai ya kukiuka katiba, ukosefu wa maadili na ukiukaji wa sheria ya kupambana na ufisadi na uhalifu wa kiuchumi miongoni mwa madai mengine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive