Hoja iliwasilishwa bunge na mbunge wa kibwezi west

  • | Citizen TV
    535 views

    Huenda muda wa Naibu Rais Rigathi Gachagua mamlakani unayoyoma baada ya Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse kuwasilisha rasmi bungeni hoja ya kumwondoa ofisini. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, Mbunge huyu anasema ana ushahidi na mashahidi wa kutosha kumbandua Gachagua kama Naibu wa Rais.