Michezo ya majini yatarajiwa kuvutia watalii nchini

  • | Citizen TV
    164 views

    Halmashauri ya bahari na maziwa nchini inalenga kuanzisha michezo ya majini kupitia boti za kisasa ili kukuza utalii nchini.