Walinzi wanne wajeruhiwa huku mali ikiteketezwa

  • | Citizen TV
    689 views

    Walinzi wanne wamejeruhiwa vibaya huku mali ya thamani isiyojulikana ikiteketezwa na watu waliovamia eneo la mgodi wa dhahabu linalomilikiwa na kampuni ya Shanta huko Ikolomani kaunti ya Kakamega.