BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    0 views
    Wakati Israel ikiendelea na mashambulizi yake ya anga nchini Lebanon dhidi ya Hezbollah, kumbukumbu za vita vya Israel na Hezbollah mwaka 2006 zimeibuka tena. Pande zote mbili zilikabiliwa na hasara kubwa miaka 22 iliyopita. Sasa, kuna wito wa kusitisha mapigano kutoka kwa viongozi wa ulimwengu huku pande zote mbili zikirushiana makombora na mamia ya watu wameuawa nchini Lebanon katika siku chache zilizopita. Je mzozo wa safari hii una tofauti gani na ule wa 2006 #bbcswahili #lebanon #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw