'Tuwe hai au tumekufa roho zetu hazina thamani' - Wanawake wa Lebanon

  • | BBC Swahili
    342 views
    Wakati familia nyingi za Walebanon waliokimbia makazi wakilazimika kuishi mitaani au katika maeneo salama, wengi ambao wanaweza kumudu kuondoka nchini humo wamefanya hivyo. Wanawake watatu ambao wamekimbilia Italia, Uturuki na Uhispania wanaelezea kwa nini waliamua kuondoka. #bbcswahili #lebanon #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw