Hisia mseto zasheheni kikao cha kumbandua Gachagua Pwani

  • | KBC Video
    44 views

    Wakazi wa eneo la Pwani walikuwa na maoni tofauti wakati wa shughuli ya kushirikisha umma kuhusu hoja ya kutimuliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Huku baadhi wakiunga mkono kuondolewa kwake afisini, wengine kati yao walisimama kidete kwamba Naibu Rais ataendelea kuhudumu katika wadhifa huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive