Kauli ya Nyanza kuhusu hoja ya kumbandua Rigathi

  • | KBC Video
    291 views

    Wakenya katika eneo la Nyanza wanataka wawakilishi wao bungeni kupiga kura kuunga mkono hoja ya kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua. Mwanahabari wetu Wycliffe Oketch anatuarifu kuhusu maoni ya baadhi ya wananchi katika kaunti za Kisii na Kisumu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive