Hisia mseto kuhusu hoja dhidi ya Gachagua zaibuka Magharibi mwa Kenya

  • | KBC Video
    29 views

    Wakati huo huo,vikao vya ushirikishaji umma viliibua hisia mseto katika eneo la Magharibi mwa Kenya. Wanaounga mkono hoja ya kumbandua naibu rais Rigathi Gachagua wanasema sababu zilizotajwa bungeni ni sababu tosha huku wanaopinga kuondolewa kwake wakisema kuna masuala muhimu zaidi yanayopaswa kuzingatiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive