Muungani wa KUCO kugoma baada ya serikali kukosa kushughulikia matakwa ya maafisa wa nyanjani

  • | NTV Video
    32 views

    muungano wa maafisa wa kliniki nchini kuco umetoa ilani ya siku kumi na nne kufanya mgomo kutokana na kile wanadai serikali kukosa kushughulikia matakwa ya maafisa wa nyanjani kwa wakati, na kukosa kuwajumuisha katika bima ya shif.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya