Zaidi ya watu wanane wauawa Tana River baada ya mzozo wa ardhi

  • | NTV Video
    105 views

    Hali ya taharuki imetanda madogo kaunti ya Tana River baada ya wakazi wa eneo hilo kumtaka naibu mkuu wa polisi wa kituo cha polisi cha madogo kuondolewa hapo baada ya mtu moja kuuwawa na majahili kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mzozo wa ardhi katika eneo hilo ambao umechangia vifo vya watu wanane kufika sasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya